Tuesday, February 19, 2019

FOR ALL KENYAN #HOW TO STOP MASTERBATION JINSI YA KUACHA KUPIGA PUNYETO/KUJICHUA







Leo naomba nizungumzie tatizo ambalo nahisi vijana wengi tumekuwa watuhumiwa katika kitendo hiki.

Kujichua ni tabia ya kingono ambayo inapofanywa kwa kiwango kikubwa inaleta matatizo ya kiumbo na kisaikolojia kwa anayefanya tendo hilo. Na katika kipindi cha zama hizi ambazo majarida, vipindi na hata mitandao mingi inaonyesha picha za ngono ndio kunaifanya tabia hii kushamiri kwa kiwango kikubwa.

Kwani vijana wengi wanaingia katika mchezo huu wa kujiridhisha wenyewe bila kujua madhara yatakayokuja baadaye.

Waelimisha rika wengi wamekuwa wakiwaambia vijana kwamba kujichua ndio njia salama ya ngono kwani hatari ya kupata magonjwa kwako haipo na wanaongezea kuwa wafanye kwa kiwango kidogo pale wanapojisikia hamu ya tendo.

Lakini wanasahau kuwaeleza madhara yake pindi inapofanywa kwa kiwango kikubwa na pia wanajua wazi kuwa mara mtu anapoanza tabia hii kuitawala kwa kiwango inakuwa ngumu.

Baadhi ya madhara ambayo unaweza ukayapata ukifanya kwa muda mrefu: 
1.Maumivu ya mgongo kwa chini; 
2.Kupoteza nywele; 
3.Kupungua nguvu za kiume; 
4.Kuwahi kumaliza wakati wa tendo; 
5.Kupoteza uwezo wa kuona vizuri; 
6.Maumivu ya kende; 
7.Maumivu ya nyonga; 
8.Kuchoka sana; 
9.Msongo wa mawazo; 
10.Kupoteza kumbukumbu kwa haraka

Dhumuni la makala hii ni kumsaidia yule mtu ambaye tayari anafanya mchezo huu atambue madhara yake na pia afahamu namna ya kujinasua kabla mambo hayajawa mabaya.

Kwa wewe muhusika unatakiwa kuwa na hakika kuwa unaweza ukajinasua katika tatizo lako hili.

Wengi wanaume kwa wanawake waliojaribu kujisaidia kuondokana na hili tatizo wameweza, hata wewe kwako ni hivyo hivyo ikiwa utajitambua tu.Kujitambua ni hatua ya kwanza katika safari yako ya kuacha.

Unatakiwa uamue kuwa sasa unaacha na pindi unapoweka uamuzi huo utakuwa unasaidia kujipunguzia ukubwa wa tatizo.

Lakini inatakiwa uwe na zaidi ya tumaini au tamanio la kutambua kuwa uamuzi wa kuacha ni muhimu kwako. Ni uamuzi tu. 
Ukiweka kweli kabisa mawazo yako katika kuliondoa hili tatizo utakuwa na nguvu ya kuweza kuliondoa kabisa na kujiweka pembeni na vishawishi vya kukurudisha katika hiyo tabia.

Utakapo kuwa ushafanya uamuzi wa kuacha anza kufanya yafuatayo:

1.Usiguse wala kuchezea maeneo yako ya siri kwa muda mrefu labda uwe unajisafisha wakati wa kuoga.

2.Tengana na rafiki au marafiki zako ambao unajua wazi kabisa kuwa nao wana tabia hizo kwani usijidanganye kuwa mtaacha wote kwa pamoja kwani mara nyingi kuacha ni juhudi na maamuzi binafsi.

3.Unapokuwa unaoga usikae muda mrefu maeneo hayo jifute na utoke haraka.

4.Lala na nguo inayozifunika sehemu za siri kiasi kwamba sio rahisi kwa wewe kuzigusa mpaka uivue hiyo nguo, hapa itakusaidia kupata muda wa kutafakari kabla hujafanya tendo lolote.

5.Endapo upo kitandani na mawazo ya tendo hilo yakakujia ,nyanyuka na ujaribu kutembea tembea ili kuyapoteza hayo mawazo kichwani mwako.

6.Usisome majarida ya ngono, na kuangalia picha za ngono kwani vitakuchochea urudi katika tatizo.

7.Anza kusoma majarida na makala za mambo mazuri na yenye kuelimisha na itakusaidia kuulisha ubongo taarifa nzuri. 
Mathalani unaweza ukaanza tabia ya kusoma vitabu vya dini itakuasidia sana.

8.Sali, lakini wakati wa kusali usiwe mara kwa mara unalifikiria hili tatizo kwani utaendelea kuliweka mawazoni mwako. 
Mtazamo wa mtu mwenyewe ndio unaosaidia kuliondoa hili tatizo kwa haraka.

Ukiweza kutambua kwanini umeingia katika hii tabia, na kuyafahamu mazingira yanayokuchochea wewe kuingia huko unatengeneza uwezo wa kuishinda kwa haraka. Tabia hii ya kujiridhisha mwenyewe itakufanya uwe mtu kwa kujisikia na hatia kila mara, kutojiheshimu mwenyewe na kukufanya uendelee pindi unapopatwa na msongo wa mawazo. Na inapelekea unaanza kujiona mdhambi hata kuhudhuria nyumba za ibada kwako inakuwa ngumu.

Nimekuta Mafuta ya KY na Babcare Kwenye Mkoba wa Mchumba Wangu


Ni jambo limenishangaza kifupi sina tabia ya kumfuatilia mpenzi wangu iwe kwenye simu au kwenye mambo mengi but hii ilinibidi tuu.

Wakati mchumba wangu alipokuja kwangu weekend hii na kushinda siku tatu nikajitoa ufahamu ili nisiishi kama fala nikajikuta nikiwa room nikachukua mkoba wake nikawa naangalia nilihamaki baada ya kukuta mafuta ya KY na babycare, mawazo yalinipeleka mbali sana kwa kweli hadi kupelekea kuvuta picha tuwapo faragha mbona my wangu sehemu zake za siri siyo kavu labda huwa anakauka (lubricant)?

Sasa nikakosa jibu ila nikaogopa kumuuliza maana ningeweza kuzua mengine. Sasa nijikaze nimuulize au nitumie njia gani kumuuliza au haya mafuta ya ulainishaji anatembea nayo kwa ajili gani na hajawahi kutumia na mimi... 

Ukiwa na Demu Chumbani au Geto Alafu Akakwambia Maneno Haya Usipoelewa Basi Wewe ni Boya



1. Unapokuwa umetembelewa na mwanamke/msichana chumbani kwako kisha anakuambia funga pazia chumba kiwe giza sipendelei mwanga, unafanya hivyo kisha unakuwa kama zimwi ujauelewa ujumbe wake hapo. My broad wewe ni bonafide dumb

2. Pindi akikuambia anajisikia baridi kisha unazima AC unawasha fan. My broad wewe ni bigwa wa kutoelewa ujumbe.

3. Pindi mkiwa mnatazama movie nzuri kisha anakuambia ainjoy then unamuambia muangalie movie nyingine anakuambia HAPANA… kama utakuwa bado ujampata ujumbe wake wewe ni boya katila level ya Master’s

4. Kama atakuambia ataondoka muda siyo mrefu akawa anakukumbusha kila baada ya dakika kadhaa kupita ukawa ujaelewa ujumbe wake. Wewe ni boya katika level ya PHD 

FOR ALL KENYAN STAILI YA KUMKOJORESHA MWANAMKE


Inasemekana kuwa asilimia kubwa ya wanawake huwa hawafikii kabisa kilele kwa upungufu wa nyege au matatizo mengine ya kimaumbile tukiachilia mbali swala la 
kukeketwa.

Baadhi ya wanawake hufikia kilele mara moja tu (tena kwa shugulikiwa kisimi sio ule uhondo wa kumani) kila wanapofanya mapenzi/ngono na wachache wamejaaliwa na hupata uhondo wote wa kufanya mapenzi yaani wanaweza kufika kileleni zaidi ya mara mbili katika tendo/mzunguuko mmoja.

Ujuzi au utundu wa mwanaume hausaidii ikiwa mwanamke mwenyewe hajiamini na vilevile hajui ni kitu gani kina “kunyegesha”.

Mwanamke anasehemu mbili maalum zinazopelekea kufikia kilele ikiwa zitafanyiwa kazi vyema sehemu hizo ni Kisimi na “kipele G”

Wanawake wengi tunakasumba ya kukimbilia “mikao” migumu tukiwafikiria wanaume wetu, sasa mimi nasema hivi; ikiwa unamatatizo ya kufika kileleni hakikisha mnaanza na “mkao” ambao unajua wazi unakufikisha ktk dakika chache badala ya kukimbilia “doggy” ukijua wazi mumeo/mpenzi wako ana mboo fupi au hajui/hujui “kipele G” kiko wapi?

Kifo cha mende #1. Huu ni “mkao” wa kizamani au kilokole (kufanya mingine ni dhambi hahhahaha) ila mimi binafsi na ufagilia sana.

“Mkao” huu umeboreshwa na unaweza kuufanya katika “pembe” tofauti inategemeana na wepesi wako, Ila hizi pembe mbili nakupa hapa ni maalum kumuwezesha mwanamke afikie kilele.

Kama kawaida lala chali huku miguu imepanuliwa, wakati Jamaa yuko juu yako, kunja sehemu ya magoti kueleke kifuani, kisha egesha miguu yako kwenye mabega yake.

Hii itazidisha kina cha uke na kufanya uume uende chini zaidi na “kukandamiza” mwisho wa uke na ukitoka huko unasugua sugu “kipele G” kabla haujatoka kabisha na kulamba kisimi na midomo ya K na hivyo utapata raha katika sehemu zote za uke wako.

Kifo cha mende #2. Mwanamke juu….ukiwa tayari kalia “mzingo” kisha mpe ile ya 1-10 na fanya hii kwa ajili yako ondoa maswali yako kuwa “sijui anasikia raha, sijui sio hivi sijui nini” mh-mh wewe jifikirie mwenyewe kwanza, unajua hawa viumbe sio lazima wafike ndio wawe wamefurahia tendo bali kitendo cha wewe kuonyesha unafurahia au jinsi unavyoteseka kufika yeye anapata raha…..

Mara baada ya kufika sasa ndio anza kumfikiria yeye na hapo ndio anza kumpa mauno, mpe mbele-nyuma, huku na kule, juu-chini huku wakaza mboo yake namisuli ya uke…..vyovyote uwezavyo na kama umeumbwa ka’ mimi basi unaweza pata bao la pili na mzunguuko haujaisha pao!

Real entry (a.k.a Doggie). Hii ni tofauti kiduchu na ile ambayo wengi huwa mnaifikiria/fanya ambayo mwanamke huwa hafiki kiurahisi na hapo “fake kilele” hujitokeza kwa vile ama inauma au kachoka.

Ninachojaribu kusema hapa ni kuwa “chuma mboga/mbuzi kagoma” wanawake wengi huwa haiwafikishi kileleni na huwa tunafanya hivyo kwa ajili ya wanaume na wanaume huwafikisha haraka kutokana na kile kitendo cha kuona inaingia na kutoka na uzuri wa matako yako yanavyo “lindimika” ka’ jelly hahahahaha.

Wewe mwanamke ili ufike kileleni basi inakuwa hivi mwanaume analala chali huku kichwa kikiwa juu ya mto (ili aweze kuangalia kazi yako).

Wewe unatakiwa umpe mgongo alafu ingiza uume kisha “support” uzito wako kwa kushikilia godoro, Wakati wewe unaenda juu- chini, yeye akusaidie kwa kukushika kiuno au matako, hakikisha uume wote unaingia hadi mwishoni kwenye makende/pumbu pale alafu usiwahi kurudi juu hakikisha unajisugua kiaina ili kuona wapi panakunika alafu jiweke kwenye pembe hiyo.

Kumbuka wewe ndio “dereva” hapo kwa hiyo endesha vema kwani ukikosea kidogo tu atakuacha (kutokana na anachokiona).

Ukiona haiji haraka basi nyoosha miguu yako bila uume kutoka ukeni na hapo utakuwa umelalia tumbo kwenye mapaja yake na miguu yako inatazama uso wake, panua miguu yako vema kisha mpe “pumps” (rafiki yangu mmoja husema mpige tako hahahahaha)…..hapo lazima utafika tu…..

Vilevile unaweza simamia magoti na mikono (kama mnyama) panua miguu kidogo na Jamaa atapiga magoti nyuma yako na kuingiza uume kwenye uke, unapaswa kujituma kama ni ndani-nje, huku na kuko, mbele- nyuma, kuzunguusha kiuno chaguo ni lako, lakini ukifanya vyote ndio raha zaidi.

Chap-chap#1. 
Hii inaweza ikafanywa bila kuondoa nguo zote unashusha kidogo hadi magotini “kitu na Box”, nah ii lazima wote muwe naminyege lundo. Alafu ikiwa wewe ni mfupi itakuwa ni kituko kwani itabidi upande juu ya “kistuli” au upange matofali kama sio kubebwa (inategemea mko ktk mazingira gani) ili uume uingie vyema na kwenda “kukandamiza” uke wako kwa ndani na wakati wa kutoka basi upitie vema kisimi.

Chap-chap#2. Anataka wewe akili iko kwenye kuosha vyombo n.k. Mpenzi wako kwanini umnyime ei? Simama alafu uiname kidogo, pitisha mate kidogo juu ya uke wako alafu ingiza na kidole ili mate hayo yalainishe njia…kisha panua mguu mmoja ili kuuwezesha uume uingie vizuri, ukishaingia rudisha mguu kidogo ili uume “usichomoke”, wakati jamaa anakwenda juu-chini mikono yake ichezee kisimi ili kuongeza raha ya mnachokifanya .

Ubavu #1(a.k.a 11). 
Lalia ubavu na ugeukie upande wa pili, jamaa akiwa nyuma yako ataingiza uume ndani ya uke kwa kupitia nyuma, “mkao” huu hufanyika katika mitindo tofauti kama ilivyo kifo cha mende ila huu ni wa kivivu zaidi lakini itakufikisha kunako uhondo.

Ubavu#2(a.k.a 14).Yeye analala kama #1, wewe jishushe kiasi kisha jikunje kama nne alafu rudisha matako yako kwa nyuma uswa wa uume wake kisha inua mguu wako ili aingize uume ukeni mwako, rudisha mguu chini kisha anza kujiangaisha kwa kukata kiuno au vyovyote uwezavyo wakati yeye anakupa nje-ndani….

Kitendo cha mapaja yako kubanana kitakupa raha kwenye kisimi na hata utamu na uume nao utakuwa umeubana na hivyo kusugua kona zako huko ndani.

Vyura. 
Lala kifudifudi huku umepanua miguu alafu Jamaa alale juu yako na kuingiza uume kwenye uke kupitia nyuma, kwa kufanya hivyo uume wake utalenga vema “kipele G” kama unacho.

Wakati akienda nje-ndani mwili wako utakuwa unacheza cheza na kusugua kisimi ambacho kwa wakati huo kitakuwa kimegusa godoro na hivyo utapata utamu mara mbili kwa wakati mmoja wa “kipele G” na kisimi.

Toroli. Lala kifudifudi mwishoni mwa kitanda ning’iniza miguu huku umeipanua , Jamaa asimame katikati ya miguu yako, arudi chini kidogo ili aweze kuulenga uke. Jamaa atakwenda nje-ndani na wakati huohuo mwili wako utakuwa unacheza na kusugua kisimi na unaweza kubahatisha bao mbili kwa mzunguuko mmoja kama umejaaliwa.

KIDOKEZO KWA WANAUME. 
Baadhi ya wanaume huwa na bidii na kufanikiwa kufika “Eneo la hatari” ambako ni ndani yaani karibu na njia ya uzazi.

Unapofika huko mwanamke atakuwa akilia kwa maumivu na wakati huohuo kutaka zaidi, pia utahisi misuli ya uke inakubana na kujaribu “kusukuma” mboo hiyo haina maana kuwa mwanamke amefika bali anakaribia hivyo ni wajibu wako kuzidisha “speed” badala ya kupunguza.

Jinsi unavyofanya hivyo ndivyo unavyozidi kumpa raha mwenzio na hatimae kufika…..baada ya kutoka uume unaweza ukawa na vijidamu kiasi au damu hasa kama vile yuko hedhini hapo inamaana umejeruhi kwa vile kule ni laini sana na hupona yenyewe tu.

Tahadhari: Ruhusu mtu afike mbali kiasi hicho ikiwa mko kwenye mahusiano ya kuaminiana, huna mimba (inaweza kuleta matatizo), huna mpango wa kupata mimba (akiteleza kidogo tu pale imenasa).https://play.google.com/store/apps/details?id=com.kenya.breakings (kumbuka ku-click skip add ili kuiona hiyo video ni bure)

Mazoezi ni muhimu ili kufanikiwa kujaribu baadhi ya mikao ya kiujumla ambayo ni BAB-KUBWA.

Mikao mingine nitaendelea kukurushia hapa inategemea zaidi na matakwa yako. 
Kila la kheri katika kutukuza utukufu tuliojaaliwa.....samahani kiswahili changu kibovu

Mpenzi Wangu Analilia Nimnunulie Gari Kukwepa Miluzi Barabarani



Asikuambie mtu presha ya mwanaume yoyote ipo pale anapojua kuna mbaya wake anataka kufaidi ile raha anayoipata yeye naumia kila niwapo faragha na mpenzi wangu nikiwaza vitu hadimu anavyonipa bila hiyana bila uchoyo na mchezo anavyouweza hadi nachanganyikiwa mtoto kweli mashalaaaa akitembea utadhani kadondoka hajazaliwa.

Mtoto kaja juu kuwa akitembea mitaani watu wanapiga kelele na miluzi sana kwa wingi kitu kinachomkera sasa kaja juu kua nimnunulie gari maana kazichoka hizi kelele nashindwa nifanyeje kwa kweli, naumia sana na nikiwaza tuu nahisi kuchanganyikiwa mimi.

Nifanyeje niudhibiti huu mzigo? 

Aina 12 Ya Wanawake Ambao Watayafanya Maisha Yako Kuwa Magumu


Kila mtu hapa ulimwenguni ameumbwa na sifa tofauti tofauti. Kuna wengine wameumbwa na tabia za kuridhisha na wengine wameumbwa na tabia ambazo hazifurahishi. Hii pia inajitokeza katika wanawake. Katika mahusiano, utapata kuwa wanawake wanakuwa na tabia ambazo aidha zinawapendeza wanaume wao ama zinawachukiza.
Ok. Katika kuangalia tabia za wanawake, tumekuja na orodha ya wanawake ambao kama mwanamume unafaa kuwa chonjo nao kwani watayafanya maisha yako ya mahusiano kuwa ya balaa. Labda sahizi uko katika mahusiano ya muda mrefu na mpenzi wako ama sahizi uko mbioni unatafuta, kuwa macho na aina hii ya wanawake ambao wanaweza kukuharibia ama kukuletea shida
katika mahusiano yako nao mbeleni.

1. Mwanamke anayekuganda nguoni

Huyu ni aina ya mwanamke ambaye amekupenda kisai cha kuwa hawezi kufanya jambo lolote bila kukuhusisha wewe. Aina hii ya mwanamke ni yule ambaye amekuwa amezama na penzi lako kiasi cha kuwa hakupi nafasi ya kupumua. Kila kitu atakachofanya lazima uwe karibu nayeye. Well, hii ni poa kwa mahusiano lakini itafikia mahali fulani ambapo utachoshwa na tabia zake haraka. Na pia yeye kama mwanamke atakuwa na mawazo finyu kwani kila wakati anapokumbwa na jambo fulani hawezi kulitatua bila kukuhusisha.

2. Mwanamke aliyepagawa kimapenzi
Nani hapendi mwanamke anayempenda kupindukia? Kila mtu angekuwa na mwanamke aina hii wanaume wangekuwa na furaha milele. Lakini kulingana na utafiti ni kuwa aina hii ya mwanamke ni miongoni mwa wanawake wabaya kabisa ambao wanaweza kufanya maisha yako kuwa ya taabu.
Mwanamke kama huyu ungempenda siku za kwanza kwanza lakini tatizo ni kuwa kadri siku zinavyopita mnapokuwa pamoja utagundua tatizo flani, mwanamke aina hii hangependa ufanye chochote bila yeye kuwa karibu yako. Hii inamaana kila mahali unapoenda lazima akuandame. Aidha ukiwa na marafiki zako, vilabuni, wanjani...nk, yaani kiufupi kila uendapo anataka awe hapo hapo ili akuangalie na akupende zaidi. Utamweza kweli huyu?

3. Mtumiaji

Kuna aina ya wanawake ambao wanakuona wewe kama mwanamume mzuri ili wakutumie kama chambo kuwafanikisha kimaisha. Unaweza kuwa mwanamume ambaye unauunganishi na watu wengi, ama unaweza kuwa mwanamume ambaye unapendwa na wengi. Mwanamke aina hii ataona kuwa akiwa karibu na wewe itakuwa nafasi rahisi kwake kupata connection na marafiki zako kwa
urahisi. Hii inamaana kuwa pindi mwanamke aina hii akifanikiwa kupata kile ambacho amekuwa akitafuta, bila kupoteza wakati atakutema na kukuacha kwenye giza.

4. Mwanamke asieomba msamaha

Huyu ni aina ya mwanamke ambaye hawezi kuomba msahama kwa jambo lolote ambalo amefanya hata kama ni la makosa kiasi gani. Anaweza kuomba msahamaha kwa shingo upande ama aamue kunyamaza kimya tu kwa jambo alilofanya la kukwaza ama kuudhi. Owk kwanza ni kuwa aina hii ya mwanamke anaogofya sana kwani mtu ambaye hakubali makosa yake si mtu mzuri wa kuishi naye hata mara moja.

5. Mlalamishi

Huyu ni aina ya mwanamke ambaye nyakati zote yeye hulalamikia kuhusu hili na lile. Yaani kwake hakuna jambo zuri ambalo limeshawahi kumfanyikia. Aidha atakuwa akilalamika kuhusu marafiki zake, maisha yake ya kila siku nk. Yaani yeye siku zote hana amani. Aina hii ya mwanamke haifai kabisa kwani ulalamishi wake wa kila siku utakuchosha kwa haraka.

6. Asiyejielewa

Huyu ni mwanamke ambaye haelewi anachotaka maishani. Wakati wote yeye atakuwa anahangaika na uchaguzi wake na hajiamini na chochote ambacho anachagua. Aina hii ya mwanamke achana nayo kwa sababu wewe pia inamaanisha hayuko asilimia mia moja kama aendelee kuwa nawe au la. Aina hii ya mwanamke mara nyingi huwa na wanaume wengi na nirahisi kwake kukuendea kinyume kimapenzi. So kama wewe unamahusiano na mwanamke aina hii aidha uachane naye fasta ama akuwache wewe wa kwanza.

7. Anayetawala na kutotosheka

Hii ni aina ya mwanamke ambaye anatarajia makuu kila wakati na hatosheki kile alicho nacho. Anapenda kutawala na kila kitu anataka kifanywe vile ambavyo anavyotaka yeye. Owk najua wanawake wanapenda wanaume ambao ni gentlemen, lakini baada ya muda mfupi utakuja kugundua kwamba aina hii ya mwanamke watakufanya bwegu muda unaposongea, yaani watakukalia kichwani na wao kujifanya mabosi.

8.Mwenye maoni ya ukashifu wakati wote

Kuwa na maoni na kukashifu si jambo baya kwani kukosoa mambo katika mahusiano ni jambo zuri katika maisha. Lakini usizidishe. Aina hii ya wanawake wanaokashifu kupitia kiasi ni wale ambao wakisema jambo fulani basi litabakia hilo hilo na hata ufanyeje hawawezi kujeuza. Aina hii ya wanawake watafanya maisha yako kuwa balaa kwani wakisema jambo flani, bila hata kufikiria wenzao.

9. Nusa Nusa

Aina hii ya mwanamke ni yule ambaye haipiti siku bila kukuchunguza. Kila wakati anapopata mwanya anajaribu kukuchunguza mindoko yako. Unaweza kuwa mwaminifu kwake lakini yeye bila kutosheka lazima akuchunguze chunguze, mara aangalie simu yako, atake kujua umetoka wapi umeenda wapi, jana ulivaa nguo gani, anawauliza maswali marafiki zako kukuhusu nk. Owk aina hii ya mwanamke muogope sana kwani pia yeye haaminiki. Kila anachofanya yeye anashuku pia wewe utafanya. Hivyo mara nyingi ukiona mwanamke anashindwa kukuamini kwa uhusiano, inamaanisha kuwa pia yeye ana hilo tatizo, so ukiona mwanamke wako ana hizo tabia achana nayeye mara moja.

10. Asi na maono

Aina hii ya mwanamke inafanana karibu na ile ya asiyejielewa lakini hii ni kuwa mwanamke aina hii hana maoni kujihusu yeye mwenyewe. Ukimmuliza kitu chochote anakwambia kuwa hajui ama hana mtazamo wowote kuhusu jambo lolote. Mwanamke huyu anaweza kuonekana mwanamke mzuri mara ya kwanza kwa sababu hawezi kukupinga na chochote unachosema lakini pindi muda unaposongea utaona kuwa ataanza kuwa mzigo kwako. Aina hii ya mwanake iogope sana kwa sababu anaweza kuwa anafanya hivyo maksudi huku akiwe ameweka mtego ama anamalengo yake kibinafsi kutoka kwako. Mwanamke asiyetoa maoni kuhusu chochote unachosema ni umuogope
sana.

11. Mcheza ndondi

Hii ni aina ya mwanamke amabye anakasirika kwa haraka na akichukizwa na chochote kile ambacho kinakuja kwa akili yake ni vita. Aina hii ya mwanamke sitaigusia sababu kila mtu anajua matokeo yake.

12. Mtoto wa mama

Aina hii ya mwanamke ni yule ambaye hatofanya chochote bila kuingiza wazazi wake katika maongezi yake. Aina hii ya mwanamke ni mbaya kwa sababu mwanamke aina hii hata ufanye nini lazima aingize wazazi wake ndani yake. Hii inamaanisha kuwa hawezi kudhamini maoni yako kabla kuwauliza wazazi wake.

Hii ni baadhi ya tabia za wanawake ambazo mwanamume yeyote anafaa kuwa chonjo kwani mwishoni wanaweza kuleta taabu ambazo zitakuwa vigumu kutatua. 

Mpenzi Wangu Akitongozwa na Wanaume Ananiambia Hii ni Sawa?


*Wadau wa Udaku , Naomba mnipe mwongozo kwa hili la mpenzi wangu.
 *Kuna mambo mawili yamejitokeza hv karibuni:

 * kwanza, juzi alinipigia simu[hatuko mkoa mmoja, anasoma] na katika maongezi akasema kuwa X-boy wake kampigia simu nanukuu.."eti kanipigia simu, nikamuuliza leo umekumbuka nini?....akaniambia eti anakuja huku[alipo huyu demu] mm nikamwambia nasafiri, sitakuwepo"

  *Pili, jana kaniambia "mpenzi kuna sms zinachekesha...ngoja nikuforwadie...sms 1 ilisomeka "nakuhitaji"....
Sms ya Pili ipo hv.."leo umependezaa, nataka nije kwako"..hz sms anadai katumiwa na mshikaji anayeonyesha kumtaka kimapenzi

    *Hapa najiuliza ana maana gani kwa haya?

    #Naombeni mniambie, na kufafanua haya.